
Mbunge ataka sheria ya lazima watoto kutunza wazazi wao
Dodoma. Serikali ya Tanzania haina sheria ya kuwalazimisha watoto kuwatunza wazazi wao pindi watakapozeeka. Hata hivyo, itaendelea kufanya tathmini wakati wa utekelezaji wa sera ya wazee iliyoboreshwa ambayo ina tamko la kuwataka watoto kuwajibika kuwatunza wazazi, na endapo kutakuwa na umuhimu wa kuwepo na sheria maalumu kwa ajili hiyo. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri…