
Bodi ya mikopo yatoa Sh8.2 trilioni
Dodoma. Jumla ya Sh8.2 trilioni zimeshatolewa mkopo kwa zaidi ya wanufaika 830,000 wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu. Takwimu hizo zimetolewa jijini Dodoma leo Jumatatu Februari 10, 2025 na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Carolyne Ndombo wakati akifungua Maadhimisho ya miaka 20 ya Bodi ya Mikopo ya…