
Uongozi Dar es Salaam watakiwa kudhibiti malori kwenye makazi
Pwani. Huenda foleni ya malori ndani ya Jiji la Dar es Salaam ikawa inaelekea ukingoni baada ya bandari ya Kwala kuanza kuhudumia mizigo inayoshushwa bandari. Kutokana na hilo, Serikali imeutaka uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam kuhakikisha unadhibiti malori yanayoegeshwa kiholela ili kupunguza adha inayoepukika. Hiyo ni baada ya kontena 700 kuwa tayari zimehudumiwa…