CMSA:UWEKEZAJI MASOKO YA MITAJI WAONGEZEKA

Na Mwandishi wetu,Dodoma MENEJA Uhusiano na Elimu kwa Umma wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), Charles Shirima amesema uwekezaji katika kampuni za umma umeongezeka kwa kiwango cha juu tofauti na hapo awali. Ameeleza hayo wakati akizungumza na wananchi pamoja na waandishi wa habari kwenye maonyesho ya nanenane kwa kubainisha kuwa wamekuja kutoa…

Read More

UN inaonya juu ya kuongezeka kwa ushuru wa wanadamu huko Ukraine huku kukiwa na mashambulio ya angani isiyokamilika, upungufu wa misaada – maswala ya ulimwengu

“Hakuna mahali salama huko Ukraine,” Miroslav Jenča, Katibu Mkuu wa Uropa katika Idara ya Masuala ya Siasa ya UN (UNDPPA). Inataja takwimu kutoka Ofisi ya Haki za Binadamu ya UN, Ohchralisema majeruhi wa raia walifikia miaka tatu mnamo Juni, na raia 6,754 waliuawa au kujeruhiwa katika nusu ya kwanza ya 2025 pekee. Vikosi vya Urusi…

Read More

Tanga, Moro zang’ara UMITASHUMTA | Mwanaspoti

TIMU za Morogoro na Tanga zimeanza kwa moto michuano ya Michezo ya Shule za Msingi nchini (UMITASHUMTA) inayoendelea mkoani Iringa kwa kuzisambaratisha Dodoma na Dar es Salaam mtawalia. Moro iliishinda Dodoma kwa mikimbio 54, huku Tanga ikishinda  dhiddi ya Dar es Salaam.. Mchezo wa Kriketi unaingia kwa mara ya kwanza katika michezo ya UMITASHUMTA baada…

Read More

Ukimya wa Polisi tuhuma za  RC kumlawiti mwanafunzi gumzo

Mwanza/Dar. Ukimya wa Jeshi la Polisi uliotanda kuhusu tuhuma zinazomkabili mkuu wa mkoa mmoja wa Kanda ya Ziwa, anayetuhumiwa kumlawiti mwanafunzi umegeuka gumzo mitandao ya kijamii. Tukio hilo limeibua mijadala maeneo mbalimbali, hususan mitandoni kuanzia juzi, baadhi ya wachangiaji kwenye mjadala huo wakilitaka Jeshi la Polisi kutoa tamko na kumfikisha mhusika kwenye vyombo vya sheria….

Read More

Kunihira, Mukandasyenga kwenye vita ya kiatu

WASHAMBULIAJI Magret Kunihira wa Ceasiaa Queens na Jeaninne Mukandayyenga wanaingia kwenye vita ya ufungaji ambayo hadi sasa inaoenakana kuwania na Stumai Abdallah wa JKT Queens mwenye mabao 26 na Jentrix Shikangwa wa Simba mwenye 19. Kunihira ambaye anaitumikia Ceasiaa amefunga mabao manane huku Mukandaysenga akiwa na mabao saba kwenye mechi sita alizocheza. Hii ni mara…

Read More

Ateba ajiweka mtegoni, aibua maswali

MSHAMBULIAJI wa Simba, Leonel Ateba Mbida anaendelea kuonyesha kiwango bora hadi sasa katika michezo ya Ligi Kuu Bara na timu hiyo, huku akiwa kwenye mazingira mazuri ya kuandika rekodi mpya ya kumaliza msimu kwa kufunga zaidi ya mabao 10. Nyota huyo aliyejiunga na Simba Agosti 15, mwaka jana akitokea USM Alger ya Algeria, tayari amecheza…

Read More

Makalla; Takwimu za maji Dar ziakisi uhalisia wa huduma

Dar es Salaam. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla ameelekeza zinapotajwa  takwimu za upatikanaji wa maji Mkoa wa Dar es Salaam, ziakisi uhalisia wa upatikanaji wa huduma hiyo kwa wananchi. Sambamba na hilo, amesisitiza kila mwananchi katika mkoa huo anaposikia takwimu za upatikanaji wa maji, ajione ni sehemu ya…

Read More