Josiah anaanza hivi Tanzania Prisons, mastaa wote ndani

Baada ya kuanza kibarua chake, Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Aman Josiah, amesema licha ya ugeni alionao kwenye Ligi Kuu Bara, lakini haoni kitu kipya badala yake anaamini katika uwezo wake. Josiah ameanza kazi hiyo kikosini humo akitokea Geita Gold inayoshiriki Ligi ya Championship, akichukua nafasi ya Mbwana Makata aliyesitishiwa mkataba Desemba 28, 2024 kufuatia…

Read More

FA yampa mzuka Mcameroon | Mwanaspoti

BAADA ya Kagera Sugar kumrejesha aliyekuwa mshambuliaji wake raia wa Cameroon, Moubarack Amza kutoka Namungo, nyota huyo amesema anajisikia furaha katika timu hiyo kutokana na kuanza kufunga mabao. Nyota huyo amerejea baada ya awali kujiunga na Kagera Sugar Januari, mwaka jana, kwa mkopo wa miezi sita akitokea Ihefu ambayo sasa ni Singida Black Stars, kisha…

Read More

Sirro afunguka hali ya usalama Kigoma

Dodoma. Siku chache baada ya tukio la utekaji wa magari na uporaji kutokea Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro amesema Jeshi la Polisi linaendesha operesheni mkoa mzima kuwabaini wahusika kisha kuwafikisha mahakamani. Tukio hilo lilitokea Julai 13, 2025 katika eneo la Kibaoni karibu na kambi ya wakimbizi ya…

Read More

MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AMLILIA JAJI WEREMA

  Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari ameshiriki mazishi ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Mstaafu Frederick Werema, yaliyofanyika tarehe 04 Januari, 2025 katika Kijiji cha Kongoto, Wilayani Butiama Mkoani Mara. Akizungumza wakati wa utoaji wa Salamu za Pole, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, amesema kuwa Jaji Werema alijitolea kwa hali na mali…

Read More

Cheza Beach Penalties mamilioni yakungoja

  Unataka nini kingine, wengi hudhani michezo yote ya kasino ni migumu kucheza kumbe sio, Pale Meridianbet kuna huu mchezo unaitwa BEACH PENALTIES, ni rahisi sana kula hela, fikiria unatengeneza pesa kwa kupiga tu penati, tena Zaidi hadi kipa unachagua wewe. Jisajili Meridianbet uanze kupiga mkwanja. Kwa kila pigo moja lina odds zake za ushindi…

Read More

Stars kusaka rekodi mpya CHAN 2024

WAKATI ikibakia saa chache kabla ya kushuhudia mechi ya ufunguzi wa michuano ya Fainali za Ubingwa kwa Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024 kati ya wenyeji timu ya taifa ya Tanzania maarufu Taifa Stars dhidi ya Burkina Faso, kikosi cha Stars kinaingia kusaka rekodi mpya kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Rekodi ambayo…

Read More

Kuna dalili zote Yanga, Gamondi njia panda

MATOKEO ya kupoteza mechi mbili mfululizo yaliyofuata baada ya Yanga kushinda mechi nyingi kwa taabu tofauti na ubora wa kikosi cha timu hiyo iliyojaa mafundi wa boli, yamezua jambo kwa kocha Miguel Gamondi. Uongozi wa timu hiyo iliyopoteza uongozi wa ligi kwa watani wao Simba baada ya vipigo viwili mfululizo, bao 1-0 kutoka kwa Azam…

Read More