Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy
Burudani

Rais Mwinyi: Serikali zinaendelea kushughulikia changamoto za Muungano

April 18, 2024 Admin

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Serikali zote za Tanzania na Zanzibar mbili zinaendelea kuchukua hatua mbalimbali kushughulikia na kupata ufumbuzi wa changamoto

Read More
Habari

Petroli yaadimika Zanzibar, wananchi wapaza sauti

April 18, 2024 Admin

Unguja. Zanzibar inakabiliwa na ukosefu wa mafuta ya Petroli kwa siku mbili mfululizo na kusababisha adha kwa wananchi wanaohitaji nishati hiyo.  Tatizo hilo limeanza Aprili

Read More
Habari

Polisi yawashikilia watu 21 wakituhumiwa kwa uhalifu

April 18, 2024 Admin

Unguja. Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi linawashikilia watuhumiwa 21 wakidaiwa kujihusisha na matukio ya wizi, uporaji na unyang’anyi wa kutumia mapanga.  Watuhumiwa wamekamatwa baada ya

Read More
Habari

Petroli yaanza kupatikana, hofu bado Unguja

April 18, 2024 Admin

Unguja. Licha ya huduma ya mafuta ya petrol kuanza kupatikana usiku wa kuamkia leo Jumatano, Aprili 17, 2024 kisiwani Unguja, bado hofu imeendelea kuibuka kutokana

Read More
Michezo

Kipa wa Simba SC mama’ke ni Yanga

April 18, 2024 Admin

MAMA mzazi wa kipa wa Simba, Hussein Abel, Mwaija Husein Fadhir amekiri kuwa yeye ni Yanga damu lakini hilo halihusiani na kazin ya mwanae. Amesema

Read More
Habari

Mbunge azikataa ‘English Medium’ za Serikali

April 18, 2024 Admin

Dodoma. Mbunge wa viti maalumu (CCM), Taska Mbogo amezichongea manispaa na halmashauri kwa kuanzisha shule za mkondo wa Kiingereza ‘English Medium’ na kulipia ada, hali

Read More
Habari

Moravian yapata Askofu Mkuu, kuapishwa Juni 2

April 18, 2024 Admin

Mbeya. Aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo Kuu la Magharibi (KMT-JKM), Dk Alinikisa Cheyo amepata mrithi wake baada ya Mchungaji Robert Pangani

Read More
Habari

Mbunge adai za ‘English Medium’ za Serikali zinakwenda kinyume na sera ya elimu bila malipo

April 18, 2024 Admin

Dodoma. Mbunge wa viti maalumu (CCM), Taska Mbogo amezichongea manispaa na halmashauri kwa kuanzisha shule za mkondo wa Kiingereza ‘English Medium’ na kulipia ada, hali

Read More
Michezo

Dk Mwinyi ajitosa ishu ya Zanzibar CAF

April 18, 2024 Admin

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema bado inapambana ili kupata ufumbuzi juu ya suala la timu ya taifa ya soka ya Zanzibar, ‘Zanzibar Heroes’

Read More
Habari

Mshitakiwa akana maelezo yake, adai hajui kilichomuua mkewe

April 18, 2024 Admin

Geita. Mshtakiwa Bahati Shija anayekabiliwa na shitaka la kumuua mkewe, Grace Daud kwa kumpiga na chuma kichwani ya  kukataa kurudiana naye, ameiambia Mahakama hajui sababu

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 3,674 3,675 3,676 … 3,680 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.