
‘House girl’ adaiwa kujinyonga chanzo kikidaiwa msongo wa mawazo
Musoma. Mfanyakazi wa ndani aliyefahamika kwa jina moja la Modesta (17), amefariki dunia baada ya kudaiwa kujinyonga, huku chanzo cha tukio hilo kikihusishwa na msongo wa mawazo. Tukio hilo limetokea jana Desemba 10, 2024 katika mtaa wa Zanzibar katika Manispaa ya Musoma majira ya saa 5 asubuhi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Pius Lutumo…