
Sheikh Ponda atoa sababu kujiunga na ACT Wazalendo
Dar es Salaam. Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ametangaza kujiunga na chama cha ACT-Wazaendo akisema ameona umuhimu wa kuchangia nguvu katika operesheni ya ACT Wazalendo ya ‘Linda Demokrasia’, inayolenga kurejesha haki, uwazi na usawa katika michakato ya uchaguzi nchini Tanzania. Amesema anajiunga na chama hicho lengo ni kuhakikisha:…