
EADB YATOA BILIONI 63.2 KUZIWEZESHA TAASISI ZA FEDHA NCHINI TANZANIA
::::: Na Mwandishi Wetu Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB) imetia saini makubaliano ya kifedha yenye thamani ya shilingi bilioni 63.2 kwa ajili ya kuzisaidia taasisi tatu za kifedha nchini Tanzania kuimarisha uwezo wao wa kutoa mikopo kwa sekta mbalimbali za kimkakati. Makubaliano hayo yamesainiwa jijini Dar es Salaam, yakihusisha taasisi za kifedha za…