
Sababu Ninja kuachana na FC Lupopo hii hapa
BEKI Mtanzania Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amesema sababu ya kuvunja mkataba wa miezi sita uliokuwa umebaki katika klabu aliyokuwa anaichezea ya FC Lupopo ya DR Congo ni maslahi. Ninja alijiunga na klabu hiyo msimu huu akitokea Lubumbashi Sports ya nchini humo ambayo aliichezea kwa msimu mmoja kati ya miwili aliyokuwa amesaini ambapo sababu ya kuachana nayo…