
Watu 174 wafariki katika ajali ya ndege Korea Kusini – DW – 29.12.2024
Kulingana na wizara ya uchukuzi ya Korea Kusini, ndege hiyo ya shirika la Jeju Air, chapa 7C2216, ikitokea mji mkuu wa Thailand, Bangkok, ikiwa na abiria 175 na wafanyikazi sita wa ndege, ilijaribu kutua katika uwanja huo uliopo kusini mwa nchi mapema asubuhi. Wafanyikazi wawili wa ndege wameokolewa wakiwa hai, huku maafisa wakieleza kuwa wengine…