Yanga bab kubwa… Yatangaza kuipiga bao Al Ahly
WANACHAMA wa Yanga jana kwa kauli moja wamepitisha bajeti ya Sh 33 bilioni kwa msimu ujao, ikiwa ni zaidi ya Sh8 bilioni ukilinganisha na ile ya msimu uliopita ambao klabu hiyo ilitwaa mataji matano, huku uongozi ukiitangaza thamani ya klabu hiyo sasa ni Sh100 bilioni. Thamani hiyo ni zaidi na ile iliyonayo Al Ahly ya…