RAIS DKT.MWINYI KUZINDUA OFISI NA MAABARA YA TEKNOLOJIA YA NYUKLIA ZANZIBAR

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda,akizungumza na waandishi wahabari leo Novemba 7,2024 jijini Dodoma kuhusu uzinduzi wa Ofisi na maabara za Tume  ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) zilizojengwa eneo la DungaZuze Zanzibar  Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Kipanga,akizungumza na waandishi wahabari kuhusu uzinduzi wa Ofisi na maabara…

Read More

Ubunifu KuniSMART, JikoSMART ulivyoondoa adha ya moshi Magu

Mwanza. “Wakati nikifanya kazi katika shirika fulani, tulitembelea shule moja jijini Mwanza na kukuta wapishi wakiwa wanapeana zamu jikoni. Mmoja anaingia na kupuliza moto, kisha anakimbia kumpisha mwenzake ili kukabiliana na moshi. Hili lilinisikitisha sana,” anasema Bernard Makachia, mbunifu wa JikoSMART. Akizungumza na Mwananchi kwenye mahojiano maalumu kuhusu wazo la kuja na majiko hayo lilipotoka,…

Read More

Morocco awafukuza Mkoko, Lanso kambini kwa utovu wa nidhamu

Kocha wa Timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, Hemed Suleiman ‘Morocco’ amewaondoa kambini nyota wake wawili kwa utovu wa nidhamu. Katika taarifa iliyotolewa na ZFF, nyota waliofukuzwa ni Ibrahim Mkoko anayekipiga katika klabu ya  Namungo FC na Abdallah Said (Lanso) wa KMC. Utovu wao wa nidhamu uliotajwa katika taarifa hiyo ni kuchelewa kujiunga na…

Read More

Wahitimu UBA wahimizwa kuimarisha ujuzi wa kidijitali

Kigoma. Wahitimu na wanafunzi wa vyuo mbalimbali nchini wanaosoma fani ya uandishi wa habari, wameshauriwa kuongeza ujuzi wao katika masuala ya kidijitali, ikiwemo matumizi sahihi ya akili mnemba (AI), ili kuepusha matumizi mabaya ya teknolojia yanayoweza kupotosha umma. Rai hiyo imetolewa leo Alhamisi, Desemba 18, 2025 na Mkuu wa Maudhui ya Mtandaoni wa Azam Media,…

Read More

Mizengwe ya uchaguzi yaanza CCM, wajumbe walalama kuwekwa kando

Bunda. ‘Mizengwe imeanza’ ndio neno unaloweza kutumia kwa kile kinachoendelea katika Chama cha Mapinduzi (CCM) katika matawi mbalimbali ya Kata ya Nyamuswa, wilayani Bunda, mkoani Mara. Zaidi ya wajumbe 100 wa mabaraza ya mashina ya CCM kutoka matawi mbalimbali ya Kata ya Nyamuswa, wilayani Bunda, mkoani Mara, wameripoti kuondolewa kwenye nafasi zao. Wajumbe hao wanahusisha hatua…

Read More

Simba: Kesho tunaanza upya | Mwanaspoti

OFISA Habari wa Simba, Ahmed Ally, amesema wana mechi ngumu kesho watakapokutana na timu ambayo haina cha kupoteza, hivyo wapo kwenye wakati mgumu kufikiria nini watafanya ili kuvuka hatua inayofuata. Katika kufikiria huko, Ally amebainisha kwamba, wataingia kwenye mechi hiyo akilini mwao matokeo yakiwa 0-0 licha ya kwamba ugenini walishinda bao 1-0. …

Read More