
Mungu anapenda ufanikiwe kiuchumi | Mwananchi
Katika Neno takatifu la Mungu tunalotumia kwa lugha ya sasa, hakuna mahali neno ‘uchumi’ limetajwa popote. Lakini kutokana na tafsiri halisi ya uchumi, tuliyojifunza hapo juu, uchumi umetajwa katika Biblia Takatifu kwa namna nyingi na kwa mara nyingi. Mungu ndiye muumba wa mali na rasilimali zote za dunia, na anataka mimi na wewe kama watoto…