
DC KASILDA AWAPONGEZA WANANCHI KWA UJENZI WA VYUMBA VIWILI.
NA WILLIUM PAUL, SAME. MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amewapongeza Wakazi wa Kitongoji cha Kiruwa kilichopo Kijiji cha Ruvu Mbuyuni Kata ya Mabilioni kwa kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwenye sekta ya Elimu kwa kujitoa kwa hali na mali kuibua ujenzi…