
DTB yabeba ndoo ya mabenki Dar
Timu ya Soka ya Diamond Trust Bank (DTB) imetawazwa kuwa bingwa mpya wa mashindano ya mabenki msimu huu yaliyofikia tamati usiku wa jana Agosti Mosi kwenye viwanja vya klabu ya Gymkhana, Dar es Salaam. DTB imeifunga timu ya CRDB benki bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliokuwa na upinzani mkali kwa pande zote. Hadi kipindi…