
TUNAWEZA KUINGIA ISRAEL KAMA TULIVYOFANYA HUKO LIBYA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Kauli za Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan Jumapili zimeibua mvutano mkubwa kati ya Uturuki na Israel baada ya kusema “Uturuki inaweza kuingia Israel, kama ilivyoingia Libya hapo awali na Karabakh.” Matamshi haya yalisababisha majibizano makali katika mtandao wa X (Twitter) kati ya maafisa wa mataifa haya mawili. Rais Erdogan alitoa vitisho hivi vya kuingilia…