
Balozi Ruhinda afariki dunia | Mwananchi
Dar es Salaam. Mmoja wa waasisi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Balozi Ferdinand Ruhinda (86) amefariki dunia leo Juni 15, 2024 nyumbani kwake Masaki, Dar es Salaam kutokana na maradhi ya kisukari. Mdogo wa marehemu, Edward Ruhinda amethibitisha kutokea kwa kifo cha kaka yake akisema ameugua kwa muda mrefu na amekuwa akihudumiwa na…