Mfahamu mrithi wa Imani Kajula Simba

Dar es Salaam. Klabu ya Simba leo imetambulisha rasmi Francois Regis kutoka Rwanda kuwa mtendaji mkuu wa klabu hiyo akirithi mikoba ya Imani Kajula aliyejiuzulu wiki chache zilizopita. Taarifa iliyotolewa na bodi ya wakurugenzi ya Simba chini ya Mwenyekiti Mohammed Dewji leo Julai 26, 2024 imefafanua kuwa Regis ataanza kuhudumu katika nafasi hiyo kuanzia Agosti…

Read More

Dakika 190 za Opah Clement Mexico

DAKIKA 190 alizocheza Mshambuliaji wa Kitanzania, Opah Clement kwenye kikosi cha FC Juarez ya Mexico zimemfanya aendelee kuaminiwa na kocha wa timu hiyo, Oscar Fernandez. Opah alijiunga na timu hiyo inayoshiriki Ligi ya Wanawake nchini humo hivi karibuni akitokea Henan Jianye ya China alikocheza msimu mmoja. Tangu atambulishwe kikosini hapo Februari mwaka huu, amekuwa akipata…

Read More

Amri ya Trump yang’ata, MDH yapeleka wafanyakazi likizo

Dar es Salaam. Taasisi ya Management and Development for Health (MDH) imetangaza likizo isiyo na malipo kwa wafanyakazi wa mradi wa afya jumuishi nchini Tanzania kufuatia agizo la kusitisha kazi, huku Serikali ikitoa ufafanuzi wa upungufu utakaotokea. Leo Jumatano, Februari 12, 2025 Mwananchi imeiona barua iliyosainiwa jana Jumanne Februari 11 yenye maelekezo hayo kutoka kwa…

Read More

Sababu zitakazombeba Profesa Janabi kushinda WHO

Dodoma. Serikali imeainisha sababu zinazomfanya Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi, kuwa na uwezo wa kushinda katika uchaguzi wa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kanda ya Afrika. Nafasi ya Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika iliachwa wazi na Dk Faustine Ndugulile, ambaye alifariki dunia Novemba 27, 2024,…

Read More

Mbeya yaingilia kati Prisons na Ken Gold

WAKATI Tanzania Prisons na Ken Gold zikiendelea kuchechemea kwenye Ligi Kuu, chama cha soka mkoani Mbeya (Mrefa) kimezitaka timu hizo kutekeleza ushauri wa kamati ya mashindano ili kukwepa aibu ya kushuka daraja. Timu hizo pekee mkoani Mbeya kwenye Ligi Kuu, hazijawa na matokeo mazuri na kuweka presha kwa mashabiki na wadau wa soka katika vita…

Read More

Dk Biteko ahitimisha ziara Arusha akisisitiza amani

Arusha. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, katika ziara ya siku nne mkoani Arusha pamoja na mambo mengine, amesisitiza amani, akitaka wananchi kutokugawanywa kwa itikadi za dini wala za siasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2025. Dk Biteko aliwasili Arusha Aprili 22, 2025, ambako alikagua miradi ya maendeleo ikiwa ni katika kuelekea maadhimisho ya…

Read More