
Malawi yakabiliwa na mgogoro wa wakimbizi wanaotoka Msumbiji – DW – 03.01.2025
Maelfu ya watu wameikimbia Msumbiji na kuelekea nchi jirani ya Malawi, wakitafuta hifadhi kutokana na machafuko ya baada ya uchaguzi mkuu. Hii ni kufuatia hatua ya wiki iliyopita ya Mahakama ya Katiba ya Msumbiji kuthibitisha ushindi wa chama tawala cha Frelimo katika uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka jana. Upinzani uliyapinga matokeo hayo na kusema yalichakachuliwa…