
Ilani ya ACT Wazalendo itakayokuwa
Kibondo. Chama cha ACT Wazalendo kimesema, kipo katika hatua za mwisho za kukamilisha maandalizi ya ilani yake ya uchaguzi kwa mwaka 2025/2030, kikisema itakuwa tumaini la ustawi wa kiuchumi na maisha bora kwa Watanzania. Hatua hiyo ni mwanzo kuelekea kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, kikisisitiza kukata tamaa hakujawahi kuwa silaha sahihi ya kutatua…