Mkutano wa marais Dar kumaliza machafuko DRC?

Dar es Salaam. Swali vichwani mwa wafuatiliaji masuala ya siasa, amani na usalama ni je, wakuu wa nchi wanaokutana kesho Jumamosi Februari 8, 2025 jijini Dar es Salaam watapata suluhisho la vita Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo? Wakuu hao wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika…

Read More

Sintofahamu ujenzi wa barabara ya njia nne Mbeya

Mbeya. Kasi ndogo utekelezaji wa ujenzi wa mradi barabara njia nne yenye urefu wa kilometa 29 kutoka Uyole hadi eneo la Songwe Wilaya ya Mbeya mkoani hapa, imeibua maswali kwa wananchi na kuwatia hofu kwamba huenda usikamilike kwa wakati uliopangwa. Wananchi wamepaza sauti zao baada ya kushuhudia kuondolewa kwa magari na vifaa vya ujenzi vya…

Read More

CHUO KIKUU MZUMBE CHAPONGEZWA KWA KUWAANDAA VIJANA KUJIAJIRI NA KUCHANGIA KUKUZA UCHUMI WA TAIFA KUPITIA BUNIFU

Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Hawa Tundui (kushoto) akikabidhi zawadi ya kumbukumbu kwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.) kwenye Siku ya Mzumbe na Kambi ya Ujasiriamali ********************** Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe (Mb.), amekipongeza Chuo Kikuu Mzumbe kwa kuwatengenezea mazingira wanafunzi wa chuo…

Read More

Adaiwa kummwagia mume maji ya moto, ugomvi na ulevi vyatajwa

Mirerani. Mkazi wa Kitongoji cha Kazamoyo katika mji mdogo wa Mirerani, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, amejeruhiwa mgongoni akidaiwa kumwagiwa maji ya moto na mkewe. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Juni 19, 2024, Ouma Odauseri amesema alifanyiwa ukatili huo Juni 18, 2024 kwa kumwagiwa maji ya moto na mkewe, Flora Daniel ambaye anashikiliwa na polisi,…

Read More

Angalizo latolewa matumizi ya dijitali kutatua changamoto za jamii

Dar es Salaam. Wanawake hususani vijana wametakiwa kutumia fursa za ukuaji wa teknolojia na matumizi ya kidijitali kutatua changamoto zinazoikabili jamii. Hilo likifanyika, imeelezwa ushiriki wa wanawake utaongezeka katika masuala ya teknolojia, hivyo kukuza usawa wa kijinsia. Hayo yameelezwa leo Mei 23, 2024 wakati wa mdahalo kuhusu ujuzi wa kidijitali kwa maendeleo ya rasilimali watu…

Read More

Coastal Union yaanza na Chikola, Bwenzi

WAKATI msimu huu ukielekea ukingoni, klabu mbalimbali zinazoshiriki Ligi Kuu Bara zimeanza hesabu mapema za kuimarisha vikosi vyao kwa ajili ya msimu ujao ambapo inaelezwa Coastal Union imefanya mazungumzo na nyota wawili, Offen Chikola wa Tabora United na Seleman Bwezi anayecheza KenGold. Coastal Union imeanza na wachezaji hao ikiamini kwamba ikikamilisha kuwasajili watasaidia timu kufanya…

Read More

Dawasa yajipanga kuwadhibiti wasiolipa bili za maji

Dar es Salaam. Ili kukabiliana na changamoto ya madeni ya bili za maji, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa), imejipanga kuwafungia dira za maji za malipo ya kabla wadaiwa, ikieleza mpaka sasa inawadai zaidi ya Sh40 bilioni. Kwa mujibu wa Dawasa, wadaiwa hao wapo katika makundi matatu ambayo ni taasisi…

Read More

Hivi ndivyo Nondo wa ACT Wazalendo alivyotekwa Dar

Dar es Salaam. Wakati tukio la Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT-Wazalendo, Abdul Nondo kudaiwa kutekwa na watu wasiojulikana likiibua mjadala, Jeshi la Polisi limeelezea jinsi tukio hilo lilivyotokea. Nondo anadaiwa kukutwa na kadhia hiyo leo Jumapili, Desemba mosi, 2024 muda mfupi baada ya kushuka katika basi kituo cha mabasi cha Magufuli, jijini Dar…

Read More