
Hiki hapa chanzo valvu za moyo kuharibika
Dar es Salaam. Wazazi wamehimizwa kuwatibu watoto wanaopata ugonjwa wa mafindofindo (tonsillitis) mapema na kwa wakati ili kuwaepusha na hatari ya kupata magonjwa ya valvu za moyo. Hayo yamesemwa na Daktari bingwa wa moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Salehe Mwinchete wakati wa kambi ya siku nne ya upasuaji wa moyo iliyokuwa ikifanywa…