
Zaidi ya tani 200,000 za korosho zasafirishwa nje ya nchi kupitia Bandari ya Mtwara
Mtwara. Tani 244,680 za korosho ghafi zenye thamani ya Sh454 bilioni zimezalishwa nchini huku tani 229,544 zikisafirishwa nje ya nchi kwa kutumia Bandari ya Mtwara katika msimu wa mwaka 2023/24 huku minada 55 ikifanyika nchini. Akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa maendeleo wa ushoroba wa Mtwara leo Aprili 18 2024, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka…