MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI MATOFALI 41,000 NA SARUJI TANI 102 KUCHOCHEA SHUGHULI ZA MAENDELEO DODOMA JIJI

▪️Ni kuunga mkono miradi inayoibuliwa na wananchi kwa kata zote 41 ▪️Jiji la Dodoma latenga Bilioni 6 kuunga mkono miradi inayoibuliwa na wananchi ▪️Vifaa kulenga kuboresha sekta ya Afya na Elimu ▪️Rais Samia apongezwa kwa maendeleo makubwa Dodoma Jiji Mwenyekiti wa kamati ya Mfuko wa kuchochea maendeleo ya Jimbo na Mbunge wa Dodoma Mjini Mh….

Read More

WANAWAKE WATAWALA PROMOSHENI YA SANTA MIZAWADI KUTOKA AIRTEL

Meneja Mauzo kwa wafanyabiasha wadogo wakati na wakubwa wa Airtel Money, Janeth Kwilasa akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na wakati wa promosheni ya Santa Mizawadi iliyechezeshwa leo Januari 07, 2025 jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Ubunifu kutoka Airtel, Husein Simba. Na Kulia ni Muwakilishi kutoka Bodi ya Michezo ya kubahatisha, Elibariki Sengsenga….

Read More

MO Dewji awatuliza mashabiki Simba, akiahidi neema

WAKATI vurugu za mastaa wa Simba kuaga baada ya makubaliano ya pande zote mbili, Rais wa heshima na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu hiyo, Mohammed ‘Mo’ Dewji amewatuliza mashabiki na wanachama wa Msimbazi na kuahidi neema msimu ujao. Baadhi ya mastaa wa klabu hiyo, wameshaaga akiwamo Fabrice Ngoma,  Valentino Nouma, Awesu Awesu na…

Read More

Sh87 bilioni zatumika miradi ya maji Mtwara

Mtwara. Zaidi ya Sh87 bilioni zimetumika mkoani Mtwara katika ujenzi wa miradi saba ya maji, ambayo baada ya kukamilika kwake itawanufaisha wananchi zaidi ya 600,000. Miradi hiyo inajumuisha mradi mkubwa wa Makonde wenye thamani ya Sh84 bilioni. Akizungumza mara baada ya mradi huo kuzinduliwa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa, Meneja wa Ruwasa Mkoa…

Read More

Zaidi ya Mamilioni Kutolewa na Meridianbet Leo

ALHAMISI ya kibingwa imefika siku ya leo ambapo wakali wa ubashiri wanakwambia hivi suka jamvi mechi za leo na uibuke bingwa kwa dau lako dogo tuu. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri hapa. LALIGA kule Hispania inatarajiwa kuendelea leo ambapo Rayo Vallecano atakipiga dhidi ya Real Betis ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 11….

Read More

Ujenzi daraja la Kigongo – Busisi kukamilika Aprili 30

Mwanza. Serikali imesema ujenzi wa daraja la Magufuli (Kigongo – Busisi) utakamilika rasmi Aprili 30, 2025 na kuanza kutumika rasmi. Hata hivyo, hadi kufikia Aprili 10, 2025, magari yataanza kupita upande mmoja wa barabara kwenye daraja hilo lenye urefu wa kilomita tatu ambalo ujenzi wake kwa sasa umefikia asilimia 97. Daraja hilo linaunganisha barabara kuu…

Read More

Hii ndio Simba sasa iko ‘full’ mkoko

SIMBA imeamua. Baada ya misimu mitatu ya unyonge katika Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho (FA), Wekundu wa Msimbazi wamezinduka na kufanya usajili wa kibabe. Ikiwa na hasira ya kutolewa kinyonge na Mashujaa, kisha kumaliza nafasi ya tatu katika Ligi Kuu na kujikuta kwa mara ya kwanza ndani ya misimu sita, timu hiyo hiyo…

Read More

Wanne kikaangoni madai ya kubomoa makaburi Tabora

Tabora. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao amesema vijana wanne wanashikiliwa na jeshi hilo wakituhumiwa kuvunja makaburi 19. Tukio la uvunjaji makaburi limetokea Julai 6, 2024 katika Mtaa wa Magubiko uliopo Kata ya Kiloleni, Manispaa ya Tabora. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Julai 10, 2024 Kamanda Abwao amesema baada ya msako wanawashikilia watuhumiwa…

Read More