
POWER IRANDA: Hizi ndizo siri za kiduku katika ngumi
UNAPOLITAJA jina la Twaha Kiduku, basi huwezi kuacha kumtaja kocha wake, Chanzi Mbwana Chanzi maarufu kama Power Iranda kwa kuwa ndiye aliye nyuma ya mafanikio ya mbabe huyo wa masumbwi nchini. Power Iranda amekuwa taswira ya Kiduku anapokuwa nje ya ulingo na ndiye anayehakikisha bondia huyo anapigana masumbwi na kupata mafanikio katika mchezo huo ambao…