
Nyota Yanga dakika 30 tu, akijiandaa kubeba taji la Afrika
WAKATI Mfungaji Bora wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita, Fiston Mayele akikwama kufika japo robo fainali ya Ligi ya Mabingwa msimu huu, akiwa na Pyramids ya Misri anayoicheza kwa sasa, nyota mwenzake wa zamani wa Yanga, Tuisila Kisinda ametumia dakika 30 tu, kufika fainali nyingine ya Shirikisho na sasa anajiandaa kubeba taji…