
Metacha, Masalanga waanza mazungumzo mapya Singida BS
MAKIPA waliomaliza mikataba Singida Black Stars, Metacha Mnata na Hussein Masalanga wapo katika mazungumzo mapya na uongozi wa timu hiyo, kama wanaweza wakaendelea nao msimu ujao. Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa timu hiyo, zinasema: “Tunafanya mazungumzo na makipa hao kwa kumshirikisha Kocha Miguel Gamondi, kama tutafikia nao muafaka basi tutawaongezea mikataba. “Ni makipa wazuri…