
VIWANJA VISIVYO NA MAJUKWAA HAVITATUMIKA MSIMU UJAO – KASONGO – MWANAHARAKATI MZALENDO
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi ya NBC Tanzania, Almas Kasongo amesema kuwa baadhi ya kanuni za ligi msimu ujao wa 2024/25 ni kuwa uwanja ambao hautakuwa na viti elfu tatu (3,000) kwaajili ya mashabiki havitatumika kwenye michezo ya Ligi Kuu. Kasongo ameyazungumza hayo leo, Agosti 6, 2024 kwenye semina ya waandishi…