
Jinsi Raila alivyoukosa uenyekiti Umoja wa Afrika
Waziri wa Mambo ya Nje wa Djibouti, Mahmoud Youssouf amemshinda Raila Odinga wa Kenya kwenye kinyang’anyiro cha mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC). Mchuano huo uliokwenda hadi mzunguko wa saba Youssouf ameshinda kwa kupata kura 33, baada ya Raila kuondoa jina lake. Raila alilazimika kuondoa jina lake kwenye mzunguko wa sita, wakati huo…