
RAIS MSTAAFU JK AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA NIGERIA
RAIS Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (GPE) amekutana leo na Rais wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Taasisi hiyo na Nigeria. Pamoja na mambo mengine, Rais mstaafu Kikwete amemweleza nia ya Taasisi hiyo kutaka kuiomba Nigeria kuwa…