
Majaliwa atoa kauli ubunge wa Ruangwa
Waziri Mkuu wa Tanzania na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa leo Jumatano, Julai 2, 2025 ametangaza rasmi kutokugombea tena ubunge wa Ruangwa baada ya kulitumikia jimbo hilo kwa miaka 15. Akizungumza na wajumbe wa kamati za siasa ya mkoa na Wilaya ya Ruangwa leo Jumatano, Julai 2, 2025, Majaliwa ametumia fursa hiyo kuwashukuru wananchi kwa…