
Aliyedaiwa kumuua shangazi yake kwa imani za kishirikina ahukumiwa kunyongwa
Geita. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Geita imemhukumu kunyongwa hadi kufa, Peter Lameck (27) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua shangazi yake, Isanziye Mwinula (67) akimtuhumu kuwaua wazazi wake pamoja na mtoto wake kwa imani za kishirikina. Hukumu hiyo imetolewa leo Julai 5, 2024 na Jaji wa Mahakama hiyo, Griffin Mwakapeje baada ya kumtia…