
Yanga kumechangamka… Ecua atoa msimamo
STAA mpya wa Yanga, Celestine Ecua amesema amesikia kila kitu kuhusu mashabiki wanaomsema kwamba yeye ni mchoyo wa kutoa pasi kwa wenzake uwanjani, kisha akatoa msimamo kuwa, haoni tatizo kwake kuanzishwa benchi kwa sababu anajua uwezo alionao. …