KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAVITAKA VYAMA VYA USHIRIKA KUWASAIDIA WANACHAMA WAO
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeviagiza Vyama vya Ushirika nchini kuwasaidia wanachama wao na sio kuwa mzigo kwa wanachama ikiwemo kukomesha ubadhilifu katika Vyama hivyo. Agizo hilo limetolewa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Mhe. Mariam Ditopile, wakati wa kupokea…