Michango ya kibinafsi huongeza msaada wa UN kwa Gaza iliyokumbwa na vita – Masuala ya Ulimwenguni

Tangu Oktoba mwaka jana, shirika la Umoja wa Mataifa limekusanya karibu dola za Marekani milioni 150 kutoka UNRWA Uhispania, UNRWA USA, foundations, mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs), mashirika na watu binafsi. Baadhi hata waliongeza mara mbili au mara tatu michango yao, alisema Karim Amer, Mkurugenzi wa Ushirikiano wa shirika hilo, ambaye alizungumza na Habari za…

Read More

Coastal Union yaanza na kiungo wa boli

WAGOSI wa Kaya, Coastal Union wameanza usajili wa kimya kimya kwa kuibomoa Ken Gold kwa kuamua kumsajili kiungo Kiala Lassa wa timu hiyo iliyoshuka daraja, ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa 2025-26. KenGold, imeshuka daraja na msimu ujao itashiriki Ligi ya Championship kutokana na kutokuwa na mwenendo mzuri hadi sasa, ikiburuza mkiani na pointi…

Read More

Athari wageni kufanya biashara za wazawa Kariakoo

Dar es Salaam. Uchunguzi umebaini kuwapo kwa wafanyabiashara wengi wa kigeni wanaofanya biashara zinazofanywa na wazawa huku wakiuza bidhaa kwa bei ya chini jambo ambalo linaondoa ushindani sokoni. Hayo ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na kamati ya kufuatilia na kuhakikisha raia wa kigeni hawajihusishi na biashara zinazopaswa kufanywa na wazawa maeneo ya Kariakoo, iliyokuwa…

Read More

Barabara iliyokatika Ulanga yaanza kutengenezwa

Ulanga. Matengenezo ya barabara iliyokatika Mei 3, 2025, katika eneo la Ilagua wilayani Ulanga yameanza kufanywa na wahandisi kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroad), kwa mujibu wa Mkuu wa Wilaya ya Ulanga, Khamana Simba. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Mei 6, 2025, Simba amesema tangu kukatika kwa barabara hiyo, wasafiri waliokuwa wakielekea Ifakara, Malinyi na…

Read More