
Wadau wapendekeza njia kupambana na kukatika kwa intaneti
Dar es Salaam. Wakati watumiaji wa mtandao wa intaneti wakizidi kuongezeka nchini, wadau wa sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wameshauri watoa huduma hizo watafute njia mbadala pale inapotokea hitilafu. Msingi wa hoja hiyo umetokana na sakata la kukatika kwa mtandao wa intaneti Tanzania kwa zaidi za siku mbili kuanzia Mei 12, 2024 lililosababishwa…