
M23 walivyosaini mkataba wa amani na kuugeuka-4
Katika matoleo yaliyopita, tulichunguza chimbuko la kundi la waasi la M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na athari zake zilizosababisha taharuki nchini humo. Pia, tuliona baada ya juhudi za jumuiya ya kimataifa, jioni ya Desemba 12, 2013, DRC ilisaini mkataba wa amani na M23 uliolenga kuleta maridhiano, uthabiti na maendeleo eneo la mashariki…