
WAKUU WA VYUO VYA UFUNDI WAJIPANGA KUWA VITUO VYA UMAHIRI
Wakuu wa Vyuo vya Mafunzo ya Ufundi kutoka Tanga, Mwanza na Pemba wameshiriki katika kikao kazi ili kuimarisha stadi za kuboresha taasisi zao kuwa vituo vya umahiri katika baadhi ya fani za ustadi zinazotolewa na vyuo hivyo. Mafunzo hayo yanatolewa katika muktadha wa sera ya taifa ya elimu iliyoboreshwa inayosisitiza umuhimu wa elimu na ujuzi….