
Wanamgambo watano wa Hamas wauawa Ukanda wa Gaza – DW – 29.08.2024
Hakujawa na uthibitisho wa mara moja kutoka kwa upande wa Wapalestina kuhusu kifo cha Mohammed Jaber, aliyejulikana kama Abu Shujaa, kamanda katika Kundi la wanamgambo wa “Islamic Jihad” katika kambi ya wakimbizi ya Nur Shams huko nje kidogo ya mji wa Tulkarem. Anatazamwa kama mtu shujaa kwa Wapalestina wengi, baada ya mwaka huu kuripotiwa kuuwawa…