
Waziri wa afya ataka mpango mkakati kusimamia usafi
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amesema ili kuepuka magonjwa ya mlipuko ameitaka Idara ya Kinga Wizara ya Afya kuimarisha mpango mkakati wa kusimamia suala la usafi wa mazingira katika majiji makubwa pamoja na maeneo ya mipakani mwa nchi. Waziri Mhagama amesema hayo leo Septemba 9, 2024 wakati wa kikao na Idara ya…