RAIS MWINYI:NIMERIDHIKA NA KAZI YA ZPDB

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameeleza kuridhishwa kwa utoaji na usimamizi wa vipaumbele vyote kwa sekta za umma hasa kwa miradi ya kimkakati. Amesema, usimamizi huo unalenga kuhakikisha wananchi wanapata huduma zinazotolewa na kuhakikisha utoaji huduma bora katika maeneo yote ya vipaumbele zikiwemo Elimu, Miundombinu, Uwezeshaji sekta…

Read More

Kesi inayowakabili watumishi 16 wa jiji la Dar yaiva

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuwa taarifa na nyaraka muhimu zilizowasilishwa Mahakama Kuu, kuhusiana na kesi ya matumizi mabaya ya madaraka inayowakabili watumishi 16 wa Jiji hilo, zimeshasajiliwa. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashitaka 142 yakiwamo ya kuongoza genge la uhalifu, matumizi mabaya ya madaraka na…

Read More

Hukumu kesi ya Ditto dhidi ya DSTV yaahirishwa

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeahirisha hukumu ya kesi ya madai ya mwanamuziki Lameck Ditto dhidi ya Kampuni ya Multchoice Tanzania Limited, maarufu DSTV iliyokuwa itolewe leo Jumanne Julai 16. Hukumu hiyo sasa itatolewa Julai 22, 2024 mahakamani hapo mbele ya jaji mfawidhi, Salma Maghimbi. Wakili wa Ditto, Elizabeth Mlemeta…

Read More

Kibano kwa wageni leseni ndogo za madini

Baada ya malalamiko ya muda mrefu, Serikali kupitia Wizara ya Madini imetunga kanuni za msaada wa kiufundi katika leseni ndogo za uchimbaji wa madini, ambapo zitaratibu ushiriki wa wageni katika leseni ndogo za uchimbaji wa madini (PML). Kwa mujibu wa kifungu cha 8 cha Sheria ya Madini sura ya 123, kimezitamka PML kuwa ni maalumu…

Read More

Mkurugenzi mkuu TRC atembelea majeruhi wa ajali ya treni Kigoma

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la reli nchini (TRC) Masanja Kadogosa  ametembelea majeruhi wa  ajali ya treni mkoani Kigoma na kutangaza kuwa serikali  itagharamia matibabu ya abiria 73 waliojeruhiwa katika ajali ya treni ya abiria iliyoanguka eneo la Lugufu wilaya ya Uvinza usiku wa kuamkia Agosti 28 mwaka huu. Kadogosa amesema  hayo  alipowatembelea majeruhi katika hospitali…

Read More