
Gongo, wizi wa simu, pikipiki, dawa za kulevya, zawatia matatani 173 Pwani
Kibaha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia watu 173 kwa tuhuma mbalimbali za uhalifu ikiwemo usafirishaji wa nyara za Serikali, dawa za kulevya, wizi wa pikipiki na simu. Watuhumiwa hao pia wanakabiliwa na tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya pombe ya gongo, wizi wa mifugo, pamoja na kukutwa na mafuta ya transfoma yanayodaiwa…