
Miili ya wachimbaji wawili waliofukiwa na kifusi Kahama yaagwa
Kahama. Miili miwili ya wachimbaji wa madini ya dhahabu waliofariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi katika mgodi wa Nkandi eneo la Mwime Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imeagwa leo Jumatano, Februari 5, 2025 huku kukatika umeme mara kwa mara ikitajwa kukwamisha uokoaji. Miili hiyo ni miongoni mwa wachimbaji watatu waliofukiwa na kifusi Februari Mosi,…