RC Batilda aagiza Halmashauri Lushoto kulipa madeni
Lushoto. Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Burian ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto kulipa deni la zaidi ya Sh700 milioni, linalodaiwa na wafanyakazi, makandarasi na watoa huduma wengine. Amesema deni hilo linaonyeshwa kwenye vitabu vya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Hayo amesema leo Jumanne Juni 25, 2024 wilayani Lushoto…