
HUSNA SEKIBOKO AMWAGA SIMU ZA USAJILI WA WANACHAMA WA CCM MKOA WA TANGA KIDIGITAL.
Raisa Sai,Tanga Usajili wa wanachama kidigitali katika Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Tanga umepata msukumo mkubwa baada ya Jumuiya hizo kupokea simu janja mpya kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalum wa CCM, Husna Sekiboko. Simu hizo zimekabidhiwa na Mbunge huyo leo kwa Jumuiya hizo wakati wa ufunguzi wa kikao cha Baraza la UWT,…