Inapokanzwa Ulimwenguni Katika Mahali baridi zaidi Duniani – Maswala ya Ulimwenguni

Mfano wa multilateralism, Antarctica inafungwa na makubaliano ya Antarctic yenye mataifa 57 yaliyowekwa kwa amani na sayansi. Pia ni hifadhi kubwa ya maji safi kwenye sayari yetu. Antarctica haina mji mkuu kwa sababu ni bara, sio nchi. Mikopo: UNDP/Raja Venkatapathy Maoni na Raja Venkatapathy Mani (Antarctica) Jumatatu, Februari 24, 2025 Huduma ya waandishi wa habari…

Read More

NBAA yawanoa watumishi wa NAOT Dodoma

  BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) inaendesha warsha ya mafunzo ya siku tano kwa watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) kwa lengo la kuhakikisha wanaendana na mabadiliko ya viwango vya kikaguzi vya Kimataifa katika ukaguzi wao. Warsha hiyo inajadili masuala muhimu kama viwango vya ukaguzi, utoaji wa…

Read More

“CHAGUENI VIONGOZI WA MAENDELEO UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA,”- DKT. BITEKO – MWANAHARAKATI MZALENDO

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kuchagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwenye uchaguzi mwaka huu ambao watakuwa mstari wa mbele kuleta maendeleo na kutatua changamoto zao kwa haraka. Dkt. Biteko ameyasema hayo wakati akihutubia mkutano wa hadhara kijiji cha Lyambamgongo wilaya ya Bukombe mkoani Geita. “Muda…

Read More

WATU WATANO WAFIKISHWA MAHAKAMANI MADAI YA KUHARIBU,KUHUJUMU MIUNDOMBINU YA RELI YA KISASA (SGR)

 WATUHUMIWA Watano Wakiwemo  Raia Wa China Wawili  Wanaokabiliwa na Tuhuma za  Kuharibu  Miundombinu  Ya Reli Ya Kisasa (SGR) Wamepandishwa Kwa Mara ya pili Katika Mahamakama ya Wilaya ya Kibaha Wakikabiliwa na Makosa Sita Yakiwemo Matano ya Uhujumu wa Miundombinu Ya Reli na Utakatishaji wa Fedha. Akiwasomea Mashtaka  mbele ya Hakimu Mkazi Wa Mahaka hiyo Mheshimiwa…

Read More

Wawili mbaroni kwa wizi wa bajaji Njombe

Njombe. Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia Juma Kimata (24) na Wetrack Ephraim Ngangalawa (32), wakazi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako kwa tuhuma za wizi wa bajaji, ambao wanatumia nguvu katika kutekeleza wizi huo. Hayo yamesemwa leo, Aprili 25, 2025, na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga wakati akizungumza na waandishi…

Read More

Waziri Mhagama akabidhi Ofisi kwa waziri Lukuvi

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, ameahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi, katika maeneo ambayo atahitaji msaada wakati wa kuratibu shughuli za serikali chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu. Jenista alitoa ahadi hiyo leo, Agosti…

Read More

KISA KODI YA PANGO WAFANYABIASHARA MSIKITI WA IJUMAA WAIANGUKIA SERIKALI

WAFANYABIASHARA zaidi ya 50 wanadai kutishiwa kuondolewa kwenye majengo ya wakfu wanayofanyia biashara kutokana na deni la kodi ya pango, ambayo wamesema walilipa kwa kamati ya mpito ya Msikiti wa Ijumaa Jijini Mwanza. Wakizungumza na waandishi wa habari, leo wafanyabiashara  hao wamesema wanakabiliwa na  changamoto ya kufukuzwa kutokana na kudaiwa kodi ya pango,tayari baadhi wamepewa…

Read More