Kampuni ya Vodcell yatakiwa kuilipa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu shilingi milioni 362 ndani ya siku saba

KAMPUNI ya Vodcell yaelekezwa kuilipa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu shilingi milioni 362 ndani ya siku saba ikiwa ni fedha za ushuru wa zao kwa Halmashauri hiyo. Maelekezo hayo yametolewa na Mhe. Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo akiwa kwenye ziara yake katika Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Mkoani Shinyanga tarehe 15 Septemba 2024. Aidha, Waziri…

Read More

Shambulizi la Israel laua wapiganaji wa Hezbollah – DW – 06.08.2024

Taarifa iliyotolewa na wizara ya afya ya Lebanon imeeleza kuwa mashambulizi ya Israel yamefanyika Jumanne na shughuli ya kuondoa kifusi kuwatafuta waathirika zaidi zinaendelea. Duru za usalama za Lebanon zimeeleza kuwa katika tukio jengine, mtoto mmoja amejeruhiwa kwa shambulizi la kombora la Israel kwenye eneo la Al-Wazzani, kusini mwa Lebanon. Jeshi la Israel limesema kikosi chake…

Read More

PROF SILAYO ATOA SIRI YAKUTOA GAWIO KUBWA SERIKALINI

Na Mwandishi Wetu KAMISHNA wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma ya Misitu Tanzania (TFS), Profesa Dos Santos Silayo ametoa siri iliyosababisha washike nafasi ya tatu kwa taasisi za serikali zilizotoa gawio kubwa kwa mwaka wa fedha 2023. Wakala huyo wa serikali jana alitangazwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina kutokea kundi la taasisi zinazochangia asilimia…

Read More

Simba yaingilia Kwa Mkapa mlango sio

KIKOSI cha Simba kimekuwa cha kwanza kuwasili kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa katika pambano la timu hiyo dhidi ya watani zao Yanga huku ikitumia mlango usiokuwa rasmi wa kubadilishia nguo (Dressing Room). Mechi hiyo ya Dabi ya Kariakoo kati ya timu hizo inayotarajiwa kupigwa kuanzia saa 11:00 jioni, imeshuhudia msafari wa Simba ukiwasili mapema Saa…

Read More

TLP, Chadema waunganisha nguvu kushinda Tandale

Dar es Salaam. Mgombea wa Uenyekiti wa serikali ya mtaa kwa Tumbi Kata ya Tandale kupitia Chama cha Tanzania Labour (TLP), Ruben Peter amewataka wananchi wa eneo hilo wampigie kura nafasi ya uwenyekiti, lakini nafasi za ujumbe wachague kutoka Chadema. Hayo yamesemwa juzi Novemba 23,2024 na Peter alipokuwa akifanya kampeni hizo katika viwanja vya Mashuka…

Read More

Mawakili wakimbilia mahakamani kumpiga ‘stop’ Ruto

KUNDI la mawakili na wanaharakati wameelekea mahakamani kumzuia Rais wa Kenya, William Ruto kutia saini Muswada wa Fedha wa 2024 na Muswada wa Kibali cha Matumizi ya Fedha wa 2024. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Mawakili saba wakiwemo Ndegwa Njiru, Jackline Mwangi, Lempaa Suyinka na Chama cha Wanasheria wa Mlima Kenya wanataka mahakama itoe…

Read More