
Mke wa mtu aliyefariki chumbani na mwanajeshi mstaafu azikwa bila ibada
Tabora. Mwili wa Mery Nassoro aliyefariki Desemba 5,2024 akiwa chumbani pamoja na mwanajeshi mstaafu, Petro Masali umezikwa leo kwenye makaburi ya Kanisa la Roman katoliki yaliyopo kata ya Ipuli manispaa ya Tabora bila misa ya msiba. Mwananchi imeshuhudia watu wakiwa msibani mtaa wa Mhalitani wakiwa wamekusanyika wakatangaziwa kuwa hakutakuwa na ibaada wala wasifu wake, badala…