Maisha Rahisi Cheza Sticky 777 Kasino ya Mtandaoni

*Sloti ya Sticky 777 MOJA kati ya biashara nzuri na yenye mtaji mdogo ni uuzaji wa matunda, huhitaji kuwa na mamilioni ufanye uwekezaji bali unahitaji akili tu ya namna ya kuweka dau lako. Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kuna huu mchezo wa Matunda unaitwa Sticky 777. Alama kubwa zaidi kwenye sloti hii ya kasino ya mtandaoni…

Read More

Bomu lililotegwa kando ya barabara likiwalenga polisi limeua watu 7, wakiwemo watoto 5 Paistan

Bomu lenye nguvu lililowekwa kwenye pikipiki kando ya barabara lililipuka karibu na gari lililokuwa limewabeba maafisa wa polisi kusini magharibi mwa Pakistani siku ya Ijumaa, na kuua watu saba, wakiwemo watoto watano waliokuwa karibu, maafisa walisema. Mkuu wa polisi wa eneo hilo Fateh Mohammad alisema shambulio hilo lilitokea Mastung, wilaya ya jimbo la Balochistan. Alisema…

Read More

Simba ilivyopoteza mabilioni ya CAF

SIMBA iko chimbo ikiendelea kusuka kikosi chake kimya kimya baada ya kumaliza vibaya msimu wa 2023/2024 kwa kupoteza mataji sambamba na mabilioni ya pesa ikiwemo yale ya CAF. Ulikuwa ni msimu dume kwa Wekundu wa Msimbazi hao wakimaliza katika nafasi ya tatu kwenye ligi, kuishia robo fainali ya Ligi ya Mabingwa, kuondoshwa hatu ya 16…

Read More

Miji kadhaa ya Ukraine yashambulia wimbi jipya la mashambulizi ya makombora ya Urusi – Masuala ya Ulimwenguni

Akilaani mashambulizi hayo ya mchana, mratibu mkuu wa Umoja wa Mataifa wa misaada nchini Ukraine, Denise Brown, alisema kuwa miji kadhaa ililengwa, ikiwa ni pamoja na mji mkuu, Kyiv, Kryvyi Rih na Pokrovsk. Mashambulizi hayo yalitokea “wakati watu walipokuwa wanaanza siku zao. Makumi ya watu wameuawa na kujeruhiwa,” sema Bi Brown, ambaye aliripoti uharibifu mkubwa…

Read More